Deuteronomy 11:16-17

16 aJihadharini, la sivyo mtashawishika kugeuka na kuabudu miungu mingine na kuisujudia. 17 bNdipo hasira ya Bwana itawaka dhidi yenu, naye atafunga mbingu ili mvua isinyeshe nayo ardhi haitatoa mazao, nanyi mtaangamia mara katika nchi nzuri ambayo Bwana anawapa.
Copyright information for SwhKC